Mwanamke Hodari

Home » For Today » Mwanamke Hodari

MWANAMKE HODARI

Akaunti ya Mwanamke Hodari

Walengwa

Sifa za Mikopo ya Hodari

MWANAMKE HODARI

Sifa za Akaunti ya Mwanamke Hodari

  • Fungua akaunti bure bila kiwango cha kuanzia
  • Kutoa hela dirishani bure.
  • Hakuna makato ya mwezi
  • Unapata kadi ya Visa(ATM)

MWANAMKE HODARI

Sifa za Mikopo ya Hodari

  • Riba nafuu ya 1% tu kwa mwezi
  • Mkopo kuanzia Sh.200,000 mpaka milioni 500
  • Mwanamke hodaru utaweza kukopa mara nne (4) ya akiba aliyoweka Benki
  • Mikopo ni kwa vikundi na mfanyabiashara mmoja mmoja