Mwanamke Hodari
MWANAMKE HODARI
Akaunti ya Mwanamke Hodari
Mwanamke Hodari ni yule anaetimiza maleng kwa juhudi na mikakati maalum, mwanamke asiyekat tamaa, hufanya lolote zuri na lenye faida kutimimiza malengo yake kibiashara ili kupata riziki.
Benki ya Azania inaungana nawe nawe mwanamke hodari kwa kukutengenezea akaunti kwa ajili yako wewe ambaye ni mwanamke wa kisasa,hodari, imara, unaejali maendeleo na mwenye maono ya kusimamia yale yanayonufaisha maisha yako na jamii inayokuzunguka.
Walengwa
Wanawake wajasiriamali,vikundi vya wanawake vya kijasiriamali, kampuni zenye umiiki mkubwa wa wanawake, kampuni zenye waajiriwa wengi wanawake