http://www.azaniabank.co.tz/wp/wp-content/uploads/2017/10/IMG-20171002-WA0027.jpghttp://www.azaniabank.co.tz/wp/wp-content/uploads/2017/10/IMG-20171002-WA0027.jpghttp://www.azaniabank.co.tz/wp/wp-content/uploads/2017/10/IMG-20171002-WA0027.jpgCustomer Service Week

Customer Service Week

Karibu. Mafanikio yako ni mafanikio yetu.

This week we are Celebrating Customer Care Week intended to improve consumer-bank relationship by going an extra mile in engaging with our customers to fully understands their Pains and gains that they would like to see from us.

Bega kwa bega ni program maalumu ya Azania Bank ambamo tunashirikiana kwa karibu zaidi na wateja wetu na kutambulisha bidhaa zetu zitakazo wanyanyua na kusaidia kuwatambulisha zaidi kwa wananchi ili kukuza biashara zao.”